Get free web hosting, free domain, free website/blog

Web hosting

Friday, September 16, 2016

shilole na nuhu mziwanda warudisha penzi kama mwanzo

Kama wahenga wasemavyo siku zote mavi ya kale hayanuki au kuna ule msemo mwengine unao sema ndege wapendanao huruka pamoja ndio ilivyo kuwa kwa hawa wawili kujidhiirisha na kuacha midomo ya watu wazi.
Hii imejidhiirisha kuwa hawa wawili wana upendo wa kweli ni baada ya kuwa kwenye gari moja wakipo wanaelekea tabora kwa ajili ya show ya FIESTA
Wawili hawa waliachana miezi kadhaa iliyo pita kwa kile kinacho nuhu mziwanda alichoka uganda la ndizi alichoka umariooo
nuhu mziwanda akifunguka kwa kusema maisha ya kuelewa na mwanamke si mazurii na amepitia changamoto nyingii alipokuwa na shilole ikiwa kuzalilishwa kwa kupigwa makofi kama mtoto tena mbele
kunyimwa uhuru wa kujiachia na watu zake wa karibu alipokuwa akihitaji na ilikuwa ikimbidi mda mwingi kukaa nyumbani asa nyakati za usikuu
baada ya yote nuhu mziwanda alichoshwa na mambo yote haya hivyo akaamua kujichekecha kuanza life lake livyakee.
hata hivyo ia siku zote mungu hamtupii mja wake ndio ilivyo kuwa kwa nuhu mziwanda kwani alipo achana na shilole alipata management nzuri kwani alipokelewa na pettie man wakuache na kuwa manager wake na kusimamaia kazi zote za kimuziki.
na hii ilimpa muhu mziwanda wakati murii kwani aliweza kutoa ngo,a yake ya JIKESHUPA  ni ambayo ilikuwa ikizingumzia wakati mgumu alio pitia akiwa na shilole na kusema ukwelii ngoma hii ilimuweka nuhu mziwanda kwenyeb nafasi nzuri kimuziki kwami ilikuwa moja ya ngoma pendwa na watu wengii
Lakini licha ya hii ngoma kufanya vizurii ilitengeneza uhasama mkubwaa na ex wake huyo shilole kwani kulikuwa na maneneo ya vitishiano kati ya shilole na nuhu mziwanda pamoja na alie kuwa  video queen kwenye ngoma hii
Lakini yote kwa yote yameonekana kuisha baada ya jupeana maneno ya mahaba wakiwa kwenye tour basii la fiesta na baadae kuamishia mapenzi kwenye mtandao wa instagram baada ya kila mmoja kumpost mwenzie na kuandikan ujumbe mzito ulio jaa mahaba tele
Hivyo hii inadhiirisha kuwa hawa wawili wamerudiana

KWA HABARI ZAIDI KUHUSU HAWA WAWILI USIKOSE KUTEMBELEA BLOG YANGU KILA SIKU 



Toa maoni Yako Kuhusu Wawili hawa kupitia hapa katika ukurasa wetu.

6 comments:

  1. Hehe wana mapenzi ya ajabu hAwa. Haya wAcha tuone wapi watafika.

    ReplyDelete
  2. Mh nuhu kAingia cha kike

    ReplyDelete
  3. Wacha nicheke mie, Nuhu safari hii utageuzwa shoga kabisa kwa kupenda umarioo

    ReplyDelete
  4. Duh kweli hii kali, na kale kademu alichokuwaga nacho??

    ReplyDelete